Nmb Yawano Wananchi, Vikundi Vya Kijamii Kimanzichana
PROGRAMU Endelevu ya usambazaji wa Elimu ya Fedha, Huduma Jumuishi za Kibenki, Utunzaji Mazingira na Matumizi ya Nishati Safi ya Kupikia kwa wananchi vijijini ‘NMB Kijiji Day,’ imeendelea wikiendi iliyopita katika…
