Kombe la Dunia Larudi Afrika Baada ya Miaka 16
Timu ya vijana ya chini ya miaka 20 ya Morocco iliandika historia Jumapili baada ya kushinda taji lake la kwanza la Kombe la Dunia kwa vijana wa chini ya miaka 20 “FIFA U-20 World Cup” kwa kuifunga Argentina mabao 2–0 kwenye fainali.…