Kim Jong Un: Tuko Tayari Kuzungumza na Marekani Ila Tusiondolewe Silaha za Nyuklia
Kiongozi wa Korea Kaskazini Kim Jong Un amesema hana sababu ya kuyakwepa mazungumzo na Marekani kama nchi hiyo haitomshinikiza kuachana na silaha za Nyuklia.
Akizungumza katika hotuba yake mbele ya bunge Kim alisisitiza kuwa kamwe…