The House of Favourite Newspapers
Yearly Archives

2017

Sasa Ndiyo Mtaielewa Yanga

IKIWAKOSA nyota wake watano muhimu kwenye kikosi cha kwanza, Yanga itajitupa uwanjani leo Jumapili kuikabili Mbao FC katika mechi ya Ligi Kuu Bara. Mechi hiyo ni muhimu kwa Yanga ambayo itataka kurudisha heshima yake baada…

Omog Kasepa na Mabegi Saba

WAKATI Simba wakiota ndoto ya mwisho pale Mtwara usiku wa kuamkia leo Ijumaa, huku Dar es Salaam bosi wao aliyepigwa chini, Joseph Omog alikuwa akipakia mabegi yake saba kwenye mwewe tayari kwa safari ya kurudi kwao Cameroon. Wala…

Mwili wa Mary Bukos Waagwa Dar

WAFANYAKAZI wa Kampuni ya Global Publishers wakiongozwa na Meneja Mkuu wao Mkuu, Abdallah Mrisho leo Desemba 30, 2017 wameungana na ndugu jamaa na marafiki kutoa heshima zao za mwisho kwa mwili wa mdogo wa Mwandishi na Mpiga Picha Mkuu…

Chirwa, Kwasi Uso Kwa Uso Zenji

KWA sasa wote wawili hawapo katika vikosi vya timu zao, lakini Januari mwakani straika Obrey Chirwa wa Yanga na beki Asante Kwasi wa Simba watakutana Zanzibar katika Kombe la Mapinduzi. Kaimu Kocha wa Simba, Masoud Djuma amepanga…

Dude Aiona Krismasi Chungu

STAA wa filamu za kibongo, Kulwa Kikumba ‘Dude’ ameumaliza mwaka vibaya hasa sikukuu ya Krismasi kwa kuiona chungu baada ya kupata ajali ya pikipiki akitokea Arusha ambapo alikwenda kikazi. Akiongea na Risasi Jumamosi…