The House of Favourite Newspapers

Diamond na Nandy Waitwa TCRA Kuhojiwa

Mwanamuziki wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz na  msanii Faustina Charles ‘Nandy’ leo wamefika Mamlaka ya Mawasiliano kuhojiwa kuhusu video zao za chumbani zilizosambaa kwenye mitandao.

Wasanii hao walishakamatwa na kuhojiwa na polisi lakini wakaachiwa kwa dhamana.

Mwanamuziki Diamond (kushoto) na Nandy (kulia) wakiwa katika ofisi za TCRA leo.
Diamond na mameneja wake wakiingia TCRA.
Nandy na mwanasheria wake wakiingia TCRA.

  (PICHA: IMELDA MTEMA – GPL)

Comments are closed.