The House of Favourite Newspapers

Mazoezi ya Taifa Stars Uwanja wa JMK Park, Dar Usipime

Timu ya Taifa ya Tanzania Taifa Stars imeendelea na mazoezi jioni ya leo kwenye Uwanja wa JMK Park, Mnazi Mmoja kujiandaa na mchezo wa kuitafuta tiketi ya kucheza Fainali za Africa mwakani dhidi ya Cape Verde,mechi ya kwanza itachezwa Cape Verde Oktoba 12,2018 na mchezo wa marudiano Oktoba 16,2018 Uwanja wa Taifa.

Wachezaji wa Taifa Stars wakiendelea na mazoezi jioni ya leo kwenye Uwanja wa JMK Park, Mnazi Mmoja jijini Dar.

PICHA: MUSA MATEJA, GPL

Comments are closed.