The House of Favourite Newspapers

Video: Huyu ndiye GAIDI wa AL-QAEDA,aliyepewa Adhabu nzito


Siku kama ya leo pia, huko jijini Alexandria, Virginia, Marekani, mwanachama wa kundi la Al-Qaeda, Zacarias Moussaoui, ahukumiwa kifungo cha maisha kwa kushiriki katika mashambulizi ya ugaidi dhidi ya Marekani, Septemba 11, 2001 ambapo ndege tatu za abiria za nchini humo zilitumika kushambulia maeneo matatu na kusababisha vifo vya watu wapatao 3,000.

Siku kama ya leo pia mnamo mwaka 1802, eneo liiitwalo Washington DC (District of Columbia) lazinduliwa rasmi kuwa jiji na hivyo kuwa mji mkuu wa Marekani.

 

Eneo hilo lililokuwa limechaguliwa maalum na kamati ya Congress, likiwa limemegwa kutoka majimbo ya Virginia na Maryland, kando ya Mto Potomac, ndipo yalipo makazi na ofisi za rais wa Marekani, tangu utawala wa Rais John Adams.

Comments are closed.