The House of Favourite Newspapers

40 Mbaroni kwa Tuhuma za Kuwakata Mapanga Viongozi wa CCM

0

POLISI inawashikilia watu 40 kwa tuhuma za kuwashambulia viongozi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwa kuwakata na mapanga Visiwani Pemba.

 

Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Simon Sirro,  amesema, viongozi hao watatu walishambuliwa juzi msikitini wakati wa sala ya Al-fajir na majeruhi wote wanaendelea na matibabu katika Hospitali ya Vitongoji.

 

“Kaskazini Pemba, nazungumzia wale wahalifu ambao waliwakata mapanga baadhi ya wakereketwa wa CCM (Chama Cha Mapinduzi), wamewajeruhi walikuwa wanatoka msikitini. Lakini watu zaidi ya 40 wamekamatwa, lakini ninachotaka kusema, wale wanajaribu…” IGP Sirro.

Kufahamu zaidi tazama video hii:

 

View this post on Instagram

 

A post shared by Global Publishers (@globalpublishers) on

Leave A Reply