The House of Favourite Newspapers

Benki ya NCBA yazindua tawi jipya Zanzibar

0
Waziri wa Fedha na Mipango wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Mh. Balozi, Mohamed Ramia Abdiwawa (katikati) akikata utepe kuzindua tawi jipya la benki ya NCBA lililopo mtaa wa Mlandege, Zanzibar leo. Kushoto ni Mkurugenzi Mkuu wa NCBA Bank Tanzania Ltd, Margaret Karume na Mkurugenzi wa Biashara na Huduma za Kidigitali wa benki hiyo, Gift Shoko.
Waziri wa Fedha na Mipango wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Mh. Balozi, Mohamed Ramia Abdiwawa akizungumza na waandishi wa habari kwenye uzinduzi wa tawi jipya la benki ya NCBA lililopo jengo la Muzamil mtaa wa Mlandege, Zanzibar leo.
Mkurugenzi wa Biashara na Huduma za Kidigitali wa NCBA Bank Tanzania Limited, Gift Shoko (wa pili kushoto) akiongoza matembezi ya uzinduzi wa tawi jipya la benki hiyo lililopo jengo la Muzamil, mtaa wa Mlandege, Zanzibar
Mkurugenzi Mkuu wa NCBA Bank Tanzania Ltd, Margaret Karume akizungumza na waandishi wa habari kwenye uzinduzi wa tawi jipya la benki ya NCBA lililopo jengo la Muzamil mtaa wa Mlandege, Zanzibar
Leave A Reply