The House of Favourite Newspapers

Wasiokuwa na Vyeti vya Kuzaliwa Kuandikishwa kwa Urahisi Sabasaba

0

Wakala wa Usajili, Ufilisi na Udhamini (RITA), unawatangazia wananchi ambao hawana vyeti vya kuzaliwa na hawajawahi kusajiliwa, kwamba watapata huduma hiyo kwa urahisi kupitia Maonesho ya Sabasaba.

 

Huduma hizo zitapatikana katika Viwanja vya Sabasaba, Nyuma ya Banda la Jakaya Kikwete kuanzia jana, Juni 28, 2022.

 

Huduma nyingine zitakazotolewa ni elimu kuhusu huduma za RITA, msaada wa kisheria kuhusu mirathi pamoja na kuandika wosia.

 

Kwa maelezo zaidi, piga simu ya bure kwa namba 0800117482 au tembelea website yao kwa kubofya http://www.rita.go.tz.

 

Leave A Reply