The House of Favourite Newspapers

50 Cent Aipaisha Video ya Diamond Platnumz na Ne-Yo

Tovuti ya thisis50.com ilianzishwa na idara mpya ya habari iliyo chini ya Rapper maarufu wa Marekani 50 Cent mwaka 2007 kwa lengo la kuendeleza na kusambaza habari za utamaduni wa pop na hiphop.

Mwimbaji Mtanzania Diamond Platnumz ameingia kwenye rekodi ya kuwa msanii wa kwanza Mtanzania video yake kuwekwa kwenye tovuti hiyo kupitia single yake mpya aliyomshirikisha Mmarekani Ne-Yo ‘Marry You”

Comments are closed.