Breaking News: Dk. Magufuli ndiye rais wa TZ
Dk. John Pombe Magufuli.
Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imemtangaza Dk. John Pombe Magufuli kuwa ndiye Rais Mteule wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania baada ya kupata kura 8,882,935 sawa na asilimia 58.46%.