The House of Favourite Newspapers

Kumwagana na Mpenzi Wake Eti ni Kiki

Na GLADNESS MALLYA |IJUMAA WIKIENDA| UBUYU ULIYONYOOKA DAR ES SALAAM: Huu ubuyu si wa nchi hii! Habari za unyunyuzi zikufi kie kuwa, sakata la staa wa sinema na muziki Bongo, Zuwena Mohammed ‘Shilole’ kumwagana na mpenzi wake,…

Kajala Adaiwa Kutesa na Bwana Mpya!

Na MWANDISHI WETU| IJUMAA WIKIENDA| UBUYU DAR ES SALAAM: Ubuyu mtamu wa Wikienda! Staa wa sinema za Kibongo, Kajala Masanja ‘Kay’ anadaiwa kupata bwana mpya ambaye kutwa, kucha amekuwa akimposti kwenye mitandao ya kijamii hasa Snap…