BOOMPLAY, UNIVERSAL MUSIC GROUP WATANGAZA USHIRIKIANO KATIKA USAMBAZAJI MUZIKI
Universal Music Group inakuwa kampuni ya kwanza kuingia mkataba na jukwaa linaloongoza kwa huduma ya kusikiliza na kupakua muziki barani Afrika.
LAGOS NA SANTA MONICA, 5 Novemba 2018 - Boomplay, huduma ya muziki inayoongoza…