The House of Favourite Newspapers

Ahmed Ally: Tunaitafuta nafasi ya Kwanza, Hatukati Tamaa – Video

0


Afisa habari wa klabu ya Simba Ahmed Ally amefunguka mara baada ya mchezo wao dhidi ya Azam FC na kusema bado wanaitafuta nafasi ya kwanza.

“Tunaitafuta nafasi ya kwanza, Bado tunaitafuta nafasi ya kwanza kwa ubora tulikuwa nao, kwa juhudi za wachezaji wetu mpaka dakika ya mwisho sisi Simba SC hatukati tamaa” amezungumza Ahmed Ally

Mchezo unaofuata wa Ligi Kuu Tanzania Bara kwa timu ya Simba Sc ni dhidi ya Kagera Sugar FC unaotarajiwa kuchezwa siku ya Jumapili ya mei 12, 2024.

Leave A Reply