Mkuu wa Jeshi la Polisi Atangaza Nafasi za Ajira kwa Vijana
Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania anatangaza nafasi za ajira kwa vijana wenye elimu ya Shahada, Stashahada, Astashahada, Kidato cha Sita na Kidato cha nne.
Kwa maelezo zaidi tembelea tovuti ya Jeshi la Polisi polisi.go.tz