KAMPUNI ya simu za mkononi ya Airtel imeungana na Serikali kupitia ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Lindi kwenye matayarisho ya kumbukumbu ya baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere ambayo kitaifa mwaka huu itafanyika Lindi katika viwanja vya Mpilipili.
Miamvuli hiyo zaidi ya 1000 iliyotolewa na Airtel itatumiwa na watoto watakaendesha halaiki siku ya kilele cha maadhimisho hayo katika viwanja vya mpilipili Lindi.
Comments are closed.