The House of Favourite Newspapers

Airtel Yawawezesha Mawakala Mkoani Arusha Kukopa na Kuongezaa Mitaji

0
thumbnail_2 Meneja wa Kampuni ya Jumo Tanzania, Rweb Mutahaba akizungumza na Mawakala wa Kampuni ya Simu za Mikononi ya Airtel mbinu za kukuza biashara na kuongeza mtaji kupitia huduma ya Airtel Timiza katika semina iliyofanyika  jijini Arusha.
thumbnail_6
thumbnail_7Mmoja wa mawakala wa kampuni ya Airtel jijini Arusha, David Lima akiuliza swali wakati wa semina iliyotolewa na kampuni ya Airtel kwa kushirikiana na washirika wake  Jumo kuhusu huduma ya Airtel Timiza inayowapatia wateja na mawakala nchi nzima mikopo  isiyona dhamana kupitia simu zao za mkononi.

thumbnail_8Mmoja wa mawakala wa kampuni ya Airtel jijini Arusha,Chihiyo Malick akizungumza wakati wa semina iliyotolewa na kampuni ya Airtel kwa kushirikiana na washirika wake  Jumo kuhusu huduma ya Airtel Timiza inayowapatia wateja na mawakala nchi nzima mikopo  isiyona dhamana kupitia simu zao za mkononi.

Leave A Reply