The House of Favourite Newspapers

Ajimwagia Mafuta ya Taa Mwilini na Kujichoma Moto

0

Jeshi la Polisi Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja kupitia Kaimu Kamanda wa Polisi mkoa wa Mjini Magharibi ACP. Elisante Makiko Mmary amethibitisha kutokea kwa tukio la Mwanamke mmoja anaefahamika kwa jina Hannat Abdalla (22) mkazi wa Chunga Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja na indaiwa mwanamke huyo amejimwagia mafuta ya taa mwili mwake mara baada ya Mume wake kutaka kumpa talaka.

 

“Alijimwagia mafuta ya taa mwilini na kujichoma moto kwa lengo la kutaka kujiua jambo ambalo ni kosa kisheria Muhanga alifanya kosa hilo baada ya kuingia kwenye Mgogoro yeye na mume wake Ambar alitaka kumpa Talaka mkewe Ndipo ilipopelekea Maamuzi Hayo,” Kaimu kamanda mkoa wa Mjini Magharihi Elisante Makiko Mmary.

Leave A Reply