The House of Favourite Newspapers

Akiwa Hoi Anaumwa, Mzee Kiki Aongea kwa Tabu – Video

0

GLOBAL TV imemtembelea msanii mkongwe wa muziki wa dansi nchini aliyetamba zaidi na kibao chake cha ‘Kitambaa Cheupe’, Mzee King Kiki, ambaye kwa sasa anasumbuliwa na maradhi ambayo yamemsababishia kukaa nyumbani na kushindwa kuendelea na kazi zake.

Nguli huyo amekumbwa na maradhi ya uti wa mgongo.

Kwa wale watakaoguswa na hali hiyo wanaweza kumchangia  fedha ya matibabu kupitia namba  ( 0713 31 16 73).

Leave A Reply