The House of Favourite Newspapers

Akon Aibiwa Gari Sheli

0

 

TAARIFA iliyogonga vichwa vya habari kwenye  tovuti ya habari za burudani ni kuibiwa kwa gari la star wa muziki kutokea nchini Senegal Akon huko Atalanta nchini Marekani.

 

Kwa mujibu wa Tovoti ya Fox5 gari hilo limeibiwa Jumatatu Mei 24,  wakati ambapo Star huyo akiwa katika kituo cha kujaza Gari Mafuta huko Sydney Atlanta, ambapo mtuhumiwa aliruka ndani ya Gari hilo aina ya Range Rover akaliwasha na kukimbia nalo.

 

Hata hivyo, idara ya polisi ya Atlanta wapo katika uchunguzi ili kumbaini mtuhumiwa aliyehusika na kitendo hicho cha kihalifu.

Leave A Reply