The House of Favourite Newspapers

Al Ahly, Kaizer ni Vita ya Wasauzi

0

Leo ndiyo leo kwani lazima mbabe ajulikane kati ya miamba ya soka Afrika, Kaizer Chiefs dhidi ya Al Ahly ambapo ni mechi kubwa ya Fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika.

Mchezo huo wa fainali utapigwa leo kuanzia muda wa saa 4:00 usiku katika Dimba la Mohammed V mjini Casablanca nchini Morocco.

Mchezo wa kihistoria kufuatia Kaizer au Amakhosi wa Afrika Kusini kutaka kutwaa kombe hilo mbele ya Mashetani Wekundu wa Misri, Al Ahly ambao wanataka kuibeba ndoo hiyo kwa mara ya kumi.

Je, nani kuibuka Championi wa Afrika?

Leave A Reply