The House of Favourite Newspapers

Alichokiandika Ben Pol Baada Ya Kukutana Na Mchoma Nyama Mkubwa Duniani

 

Msanii wa Bongo Flava maarufu kama, ‘Ben Pol’ akutana na mchoma nyama mkubwa duniani  ‘Salt Bae’ alipokuwa Dubai katika matembezi ya sikukuu akila bata na mwanadada toka Kenya Aner Lisa.

 

Kupitia akaunti yake ya instagram Ben Pol baada ya kukutana na mchoma nyama huyo aliweka video na picha huku zikiambatana jina, na maneno yaliyosomeka, ‘#SaltBae @nusr_et mwenyewe ..!”

 

#SaltBae @nusr_et mwenyewe ..!

33.1k Likes, 1,100 Comments – BEN POL #Pizzey (@iambenpol) on Instagram: “#SaltBae @nusr_et mwenyewe ..!”

Salt Bae ndyo mchoma nyama anayefanya kazi ya kuwauzia na kuwachomea nyama mastaa wakubwa duniani akiwemo, P Diddy, French Montana, Cristian Ronaldo, Messi, Dj Khaled, David Bekham, Pogba na wengineo.

 

 Akiwa na P Diddy pamoja na Dj Khaled

 

Akiwa Na French Montana

 

Akiwa na Pogba

 

Akiwa na David Bekham

 

Akiwa na Cristiano Ronaldo(CR7)

Comments are closed.