The House of Favourite Newspapers

Alichokiandika Nape Baada ya Kuvamiwa kwa Kituo cha Redio Dar

Nape Nnauye.

WAZIRI wa Habari,  Utamaduni, Sanaa na Michezo, Nape Nnauye amefunguka kupitia mitandao ya kijamii juu ya madai ya kuvamiwa kwa kituo cha Redio Clouds FM majira ya saa nne usiku, siku ya Ijumaa kuamkia Jumamosi.

Aidha Nape amewataka wanahabari watulie mpaka pale jambo hili litakapo patiwa ufumbuzi.

“Litatolewa ufafanuzi”, aliandika Nape.

Ujumbe wa Nape Mtandaoni

Salum Milongo/GPL

Comments are closed.