The House of Favourite Newspapers

Alichokisema Dismas Ten wa Yanga baada ya Droo ya FA – VIDEO

Droo ya raundi ya nne na tano ya kombe la Azam federation cup imechezeshwa leo katika makao makuu ya Azam na kushuhudia vigogo Yanga na Azam wakiendeza bahati ya kucheza nyumbani ambapo yanga watawakaribisha Biashara united kutoka mkoani mara huku azam wakicheza dhidi ya Pamba ya shinyanga.

Droo hiyo ilihudhuriwa na wadau mbalimbali wakiewemo wawakilish wa vilabu mbalimbali pamoja na waandishi wa habari, baadhi ya wawakilishi wa timu hizo walikuwa na haya ya kusema baada ya droo hiyo kumalizika.

Mechi za raundi ya nne ya michuano hiyo zinatarajiwa kupigwa kati ya tarehe 25- 28 Januari huku round ya 16 bora ikipigwa kati ya februari 21 – 25 mwaka huu.

JIUNGE NA FAMILIA YA GLOBAL TV UPANDE MTANDAO WA MAFANIKIO

Bofya hapa kujiunga na familia ya Global TV Club ==> Global TV Family Club

Comments are closed.