The House of Favourite Newspapers

UJUMBE MZITO: Ingekuwa Kufikiri Rahisi, Tusingetumia Hisia Kujaji – VIDEO

Kutokana na baadhi ya watu kujaji vitu kabla ya kufikiri, na hivyo kuwasababishia migogoro katika jamii inayowazunguka kutokana na kutoelewana kihisia.

Ujumbe mzito umetolewa ili kuweza kuwasaidia watu kutumia akili zako kujaji kitu kwanza kabla ya kuchukua maamuzi ya kuongea au kufanya jambo fulani.

JIUNGE NA FAMILIA YA GLOBAL TV UPANDE MTANDAO WA MAFANIKIO

Bofya hapa kujiunga na familia ya Global TV Club ==> Global TV Family Club

Comments are closed.