The House of Favourite Newspapers

Alichosema Zitto Kabwe Baada ya Mauaji ya Polisi 8, Kibiti

0
Mbunge wa Kigoma mjini, Zitto Kabwe.

Baada ya vifo  vya Askari Polisi 8 waliouawa kwa kushambuliwa na watu wenye silaha tarehe 13 Aprili, 2017 katika eneo la Jaribu Mpakani, Wilaya ya Kibiti Mkoani Pwani.

Leo Mbunge wa Kigoma mjini, Zitto Kabwe  kupitia akaunti yake ya Twitter amesema haya juu ya Polisi 8 waliouawa

Mkuranga, Kibiti na Rufiji ( ) ni eneo ambalo lazima kazi kubwa ya ujasusi wa kiusalama ifanyike. simamia hili haswa

Nimetazama magazeti makuu Leo, English and Swahili, naona uzito wa usalama wa eneo la unakuwa mdogo. Makosa makubwa

Video: Mwigulu Awaongoza Wananchi Kuwaaga Polisi 8 Waliouawa Kibiti, Pwani

Mwigulu Apigwa Butwaa Eneo la Tukio Walipouawa Polisi 8 Kibiti

 

 

Leave A Reply