The House of Favourite Newspapers

Alikiba Amuita Mondi ‘Sadala’ Amjibu Ishu ya Utajiri Wake- Video

0

IKIWA ani siku chache baada ya Msanii Diamond Platnumz kuwafokea Forbes kuwa utajiri wake waliouandika kwenye jarida lao si halisi kwani anao utajiri zaidi ya kile kilichoandikwa, staa mwenzake wa Bongo Fleva, Alikiba kupitia ukurasa wake wa Twitter ameandika maneno haya……..

“Sadala nisikilize ,kati ya hao watu ambao wewe unajidanganya kuwa Ni wenzako , na kudanganya watu wenye ufupi wa akili .hakuna hata mmoja ametanga ana hela akaandikwa FB. haina haja yakulalamika sisi ukituambia kama unahela tunaamini inatosha ila wale wana akili ndefu (mediocre).” – ameandika Alikiba.

Leave A Reply