The House of Favourite Newspapers

Alikiba Azindua Albamu Yake ‘Only One King’ – Video

0

STAA wa Bongo Fleva, Alikiba usiku wa kuamkia leo amezindua albamu yake mpya aliyoipa jina la ‘Only One King’ ambapo ndani yake ina ngoma 16.

 

Kwenye albamu hiyo, Kiba amewashirikisha mastaa kibao wakiwemo wa Bongo na nje ya Bongo.

 

Leave A Reply