ALIKIBA X Abdukiba X Cheed X K2ga X Killy – Mwambie Sina (Official Video)
Mkali wa Bongo Fleva, Ally Salehe Kiba ‘Alikiba’ ameachia video ya wimbo wake unaoitwa ‘Mwambie Sina’ ameshirikiana naAbdukiba, Cheed, K2ga na Killy.
Alikiba pia amesema Baada ya kufanya muziki kwa miaka zaidi ya 15 na kufanikiwa kupata mafanikio makubwa sasa ni wakati rasmi wa kurudisha kwa jamii kwa kusaidia kukuza sanaa kwa kutambulisha na kuvipa support vipaji vipya kwa industry. Nawatambulisha kwenu vijana wangu Cheed, Killy, K2ga na Abdukiba kutoka record label yangu – King’s Music.
Install Global App, nimekuwekea link hapa chini:
Android ===>GooglePlay
iOS ===>AppStore
Baada ya kuingia bonyeza GLOBAL MUSIC
Comments are closed.