The House of Favourite Newspapers

Aliyepandikiza Figo Hospitali ya Taifa Muhimbili Afunguka – Video

0

Moses Ngowi, mkazi wa Bunju jijini Dar es Salaam ni miongoni mwa wagonjwa waliopandikizwa figo katika Hospitali ya Taifa Muhimbili Mloganzila ambaye baada ya upasuaji huo, sasa anaendelea vyema na shughuli zake.

“Nimepandikizwa figo April 14, 2023 katika Hospitali ya Taifa Muhimbili Mloganzila kwa sasa naendelea vizuri, nafanya shughuli zangu za kila siku bila kikwazo chochote.”

Ngowi ametoa wito kwa wagonjwa wengine kujitokeza na kufanyiwa upasuaji huo ili waendelee na majukumu yao ya kila siku.

 

View this post on Instagram

 

A post shared by globalpublishers (@globaltvonline)

Leave A Reply