The House of Favourite Newspapers

AMBER LULU: PREZZO AMENIBADILI TABIA

Lulu Euggen ‘Amber Lulu’

BAADA ya kurudiana kimapenzi na msanii wa muziki a, Lulu Euggen ‘Amber Lulu’ ameibuka na kusema kuwa kwa kiasi kikubwa mwanamuziki huyo amembadili tabia.  

 

Akistorisha na Za Motomoto News, Amber Lulu alisema awali Jackson Makini maarufu kama Prezzo alishindwa tabia zake akaamua kukaa pembeni lakini kwa sasa amebadilika sana ndiyo maana wameweza kuwa pamoja tena.

“Baada ya kubaini ugomvi wetu chanzo kikubwa kilikuwa ni tabia yangu niliamua kubadilika, nikaacha yale ambayo mwenzangu alikuwa hayapendi ndiyo maana hata kwenye mtandao wa Instagram nimebadili hata vitu ninavyotupia tofauti na zamani nilikuwa natupia picha za aibu,” alisema Amber Lulu.

Stori; Zaina Malogo, Dar

LAVALAVA: “Diamond Ana Mapungufu / Tunavumilia / Alikiba…”

Comments are closed.