The House of Favourite Newspapers

Amber Rutty – “Vanessa Namshirikisha Kwenye Nyimbo Inayofata” – VIDEO

Mwanamuziki asiyeishiwa vituko kila kukicha Amber Rutty na mumewe Davil wamepiga stori na Global TV na kuzungumzia mikakati yao kimuziki ambapo wametaja watu ambao wanatamani kufanya nao kolabo.

Kwa upande wa Amber Rutty amesema anatamani kufanya kolabo ya Vannesa Mdee na G Nako huku Davil akitamani kufanya kolabo na Mzee King Kikii.

Comments are closed.