The House of Favourite Newspapers

Amuua Mkewe Kwa Kumkata Mapanga-Video

0

Jeshi la Polisi Mkoani Kagera linamshikilia bwana Emmanuel Mdende Mwenye umri wa Miaka 51 Kwa tuhuma za kumuua Mke wake kwa kumkatakata na Panga Chanzo kikidaiwa ni Wivu wa mapenzi Kamanda wa Jeshi la Polisi Mkoani Kagera Awadhi Juma Haji ametoa ufafanuzi zaidi juu ya tukio hilo…</span

Leave A Reply