The House of Favourite Newspapers

ARIANA GRANDE AVUNJA REKODI YA MKWANJA WA BEYONCE


MWIMBAJI Mmarekani, Ariana Grande,  ameweka rekodi ya kuingiza mkwanja mkubwa katika tamasha la Coachella kwa kumzidi staa Mmarekani mwenziye, Beyonce.

Mkali huyo wa wimbo wa ‘Thank U, Next’ amelipwa Dola mil. nane ambazo ni sawa na Tsh. bil.  18,  kwa mujibu wa mtandao wa Variety.


Mwanamuziki wa mwisho kuweka rekodi hiyo ni Beyonce ambapo Ariana ametajwa pia kuwa mmwanamke mwenye umri mdogo zaidi kuwahi kuongoza orodha ya watumbuizaji wa tamasha hilo ambapo  pia shoo yake imekuwa moja ya shoo kubwa zaidi na  ku-make headlines kupitia tamasha hilo.

Comments are closed.