The House of Favourite Newspapers

ARUSHA: AJICHINJA KOROMEA HADI KUFA, RPC AFUNGUKA! – VIDEO

Jeshi la Polisi Mkoani Arusha limethibitisha kifo cha Mkazi Mmoja wa Simanjiro, Razaro Kiolori (53) ambaye amefariki dunia baada ya kujichinja koromeo lake mwenyewe hadi kufa.

 

Akizungumza na Waandishi wa habari, Kamanda wa Polisi mkoa wa Arusha, Jonathan Shanna, amesema uchunguzi wa awali umebaini kuwa chanzo cha kifo hicho ni mgogoro wa kifamilia kati ya wake wa marehemu wawili.

MSIKIE RPC SHANNA AKIELEZA!

Comments are closed.