The House of Favourite Newspapers

Ashinda Friji Baada ya Kununua TECNO Camon 17

0

KAMPUNI ya simu za mkononi TECNO yazawadia washindi wa promosheni ya twende zetu camping kistaa ticket za kutembelea Mbuga za Wanyama Tanzania, fridge, drones na Kinga’amuzi cha DSTV. Promosheni hii ilianza rasmi baada ya uzinduzi wa TECNO Camon 17 simu iliyobeba sifa kuu ya camera ikiwa na MP48 na MP64 nyuma.

Kampuni ya Simu imetoa zawadi kwa wateja wa TECNO Camon 17 na washiriki wa challenge ya TECNO Camon 17 ambayo ilikuwa ikiendelea @tecnomobiletanzania kupitia droo kuu la bahati iliyochezeshwa na msanii maarufu Elizabeth Michael katika duka la simu TECNO Smart Hub Kariakoo

TECNO iliwazawadia zaidi ya washindi 30 tiketi ya kutembelea mbuga za wanyama Tanzania, friji, ving’amuzi vya DSTV na drones.

TECNO inawataka wadau wa simu za mkononi kutembelea maduka ya TECNO mara kwa mara pindi wanapokuwa na nafasi au tembelea www.tecno-mobile.com

Leave A Reply