The House of Favourite Newspapers

Askofu Niwemugizi:Rais Samia Usikubali Kufananishwa Na Mungu -Video

0


Askofu wa Jimbo Katoliki la Rulenge-Ngara, Severine Niwemugizi, amemsihi Rais Samia Suluhu Hassan, asikubali kwa namna yeyote ile kufananishwa na Mungu.

Askofu Niwemugizi ameyasema hayo leo kwenye jubilei yake ya miaka 25 tangu aliposimikwa uaskofu, iliyofanyika katika Viwanja vya Posta, Ngara mkoani Kagera ambapo Rais Samia alikuwa mgeni rasmi.

Kwa upande wake, Rais Samia aliposimama kuhutubia, ameanza kwa kumjibu Askofu Niwemugizi kwamba kupenda kutukuzwa siyo tabia yake na siku zote ataendelea kuwa mnyenyekevu namwenye busara katika kuwatumikia Watanzania.

Leave A Reply