The House of Favourite Newspapers

Aussems achekelea kucheza na Mbeya City Taifa

ALIYEKUWA Mgombea Ubunge wa Jimbo la Buyungu, mkoani Kigoma kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Elia Michael amekihama chama hicho na kujiunga rasmi na Chama Cha Mapinduzi (CCM).

Elia ambaye pia alikuwa diwani wa Kata ya Gwarama (Kakonko) na Mwenyekiti wa madiwani kanda ya Magharibi, aligombea wa ubunge jimbo hilo kupitia Chadema kwenye uchaguzi mdogo 2018, kufuatia kifo cha aliyekuwa mbunge wa jimbo hilo, Kasuku Samson Bilago lakini Elia alishindwa katika uchaguzi huo na Profesa Christopher Chiza wa CCM.

 

Comments are closed.