The House of Favourite Newspapers

Baba Levo Amchana Harmonize Kumuiba Poshy, amerusha dongo kwa Mwijaku – Video

0


Mtangazaji na staa wa mitandaoni, Baba Levo amerusha dongo kwa mtangazaji mwenzake, Mwijaku kufuatia kuonesha nyumba yake na kueleza kwamba kuna uongo mwingi mitaani.

Baba Levo ameyasema hayo wakati akisaini dili la ubalozi wa duka la vifaa vya kielektroniki, @urban_megastore.dsm lililopo ndani ya jengo la City Mall jijini Dar es Salaam na kueleza kuwa kwa sasa anahitaji fedha nyingi kwani mtaani maneno ni mengi.

Leave A Reply