The House of Favourite Newspapers

Balaa La Mwanamke Aliyepigwa Kwa Kufumaniwa – Video

0

Ikiwa Ni siku chache zimepita tangu kusambaa kwa video ikimwonesha Mwanamke mmoja ambaye jina lake halikuweza kufahamika akichezea kichapo kutoka kwa mwanamke mwenzie kwa kile kilichodaiwa Ni kufumaniwa na mume wa mtu, Hatimaye mwanamke huyo amepatikana na kupitia Global TV amezungumza na kusimulia mkasa mzima.

Leave A Reply