The House of Favourite Newspapers

Balaa La Zuchu Arusha Usipime, Apigiwa Shangwe -Video

0

TIMU ya wasanii ya WCB wakiongozwa na Diamond Platnumz, pamoja na wasanii wengine wakiwemo Whozu, TID, Gigy Money, Linah, Young Lunya na wengine, usiku wa Desemba 12, wamefanya bonge la shoo katika uwanja wa Sheikh Amri Abeid jijini Arusha, kwenye tamasha la ‘TUMEWASHA’

Leave A Reply