The House of Favourite Newspapers

Balaa! Mapokezi ya Shigongo Kijijini Hamurumo Buchosa – Video

0

MGOMBEA ubunge wa Jimbo la Buchosa kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Eric Shigongo James, ameendelea na kampeni za kunadi sera zake na kuomba kura kwa wananchi wa jimbo hilo ili waweze kumpa ridhaa ya kuwa mbunge wao kwa miaka mitano ijayo.

Shigongo ambaye anapewa nafasi kubwa ya kuibuka na ushindi katika jimbo hilo, amepata mapokezi makubwa katika Kijiji cha Hamurumo ambako aliwasili kwa ajili ya kuendelea na mikutano yake ya kampeni kwa wananchi wa maeneo hayo.

Leave A Reply