The House of Favourite Newspapers

BARUA NZITO: BASATA Kwa Hili La DIAMOND, Msikubali Kudhalilishwa – VIDEO

Kufuatia Baraza la sanaa la Taifa BASATA kuwaruhusu Diamond Platnumz na Rayvanny pamoja na kuliruhusu tamasha la Wasafi Festival kuendelea nchini Kenya mwaka jana baada ya kulifungia kwakukiuka masharti yake.

Katika kipindi cha romosheni ya show ya tamasha hilo nchini humo,kuna watangazaji wa kituo cha redio fulani nchini humo waliorekodi kipande cha video wakiwa studio wakilikashifu baraza hilo.

Kufuatia tukio hilo, Global TV kupitia kwa Joseph Shaluwa imewaandikia barua BASATA kuwashauri hatua za kufanya kwa suala hilo.

JIUNGE NA FAMILIA YA GLOBAL TV UPANDE MTANDAO WA MAFANIKIO

KARIBU ujiunge na familia ya marafiki wa Global TV Online – Club sasa, uwe wa kwanza kupata video zote za Global TV, video za hamasa kutoka kwa Eric Shigongo, breaking news za matukio yote duniani, michezo na dondoo za afya. Utapata nafasi ya kuingia bure na kutazama shoo, matamasha, semina na burudani zinazoandaliwa na Global TV mikoa yote Tanzania.
Pia, ukiwa na tatizo la kifamilia mfano misiba, kuuguliwa na majanga, marafiki zako wa Global TV Club tutakusaidia.
 
Pia, tutakuunganisha na mtandao wa marafiki zetu waliyofanikiwa ndani na nje ya Tanzania, ili upate mafunzo maalum ya kujikwamua kutoka katika hali duni ya maisha.

Bofya hapa kujiunga na familia ya Global TV Club ==> Global TV Family Club

Comments are closed.