The House of Favourite Newspapers

BARUA NZITO: DIAMOND PLATNUMZ Hakuna NASSIB Bila ABDUL! – VIDEO

Hivi sasa kuna gumzo kubwa sana linaendelea kwenye mitandao ya kijamii kuhusiana na baba yake Diamond Platnumz, ambaye kwa sasa anadaiwa kuwa anasumbuliwa na maradhi huku Diamond Platnumz akituhumiwa kuwa hajali hilo.

Mwandishi wa Global Publishers, Joseph Shaluwa amemwandikia barua nzito Diamond kwa lengo la kumshauri kufuatia madai hayo.

Comments are closed.