The House of Favourite Newspapers

Bella, Man Fongo, Kibao Msambwanda Watifuana Dar Live

0

DAR LIVE (6)

DAR LIVE (2)

DAR LIVE (4)

DAR LIVE (11)

DAR LIVE (17)

Kibao Msambwanda ni sheedah ndani ya Dar Live.

DAR LIVE (9) DAR LIVE (8)

Christian Bella akifanya yake stejini.

DAR LIVE (12)

Bella akitunzwa na shabiki.

DAR LIVE (7)

Mashabiki wakipagawa na burudani za Dar Live.

DAR LIVE (14) DAR LIVE (13) DAR LIVE (3)   Man Fongo akiwadatisha mashabiki wa Dar Live.

DAR LIVE (18)DAR LIVE (16) DAR LIVE (15)

DAR LIVE (5)

DAR LIVE (10)DAR LIVE (1)

KING of the Best Melodies, Christian Bella ‘Obama’ usiku wa kuamkia leo ametoana jasho vilivyo na wakali wa kuyakata mauno Bongo, Kibao Msambwanda pamoja na mkali wa Singeli, Man Fongo a.k.a Mzee wa Hainaga Ushemeji, katika tamasha lililopewa jina la Usiku wa Nishike.

Katika tamasha hilo lililoratibiwa na Hartman Mbilinyi na kufanyikia kwenye  Kiwanja cha Taifa cha Burudani, Dar Live kilichopo Mbagala-Zakhem jijini Dar, burudani ilianza kwa wasanii chipukizi wakiwemo ID Classic, La Muzika Band na wengine wengi kulishambulia jukwaa na baadaye kuwaachia wakali hao kutoana jasho.

Katika shoo hiyo, Bella alikamua ‘hit song’ zake kibao, zikiwemo Najuta, Nakuhitaji na Nishike ambapo wapenzi wa burudani walipata nafasi ya kuimba naye ‘live’.

Leave A Reply