The House of Favourite Newspapers

Benki ya NMB yakabidhi vifaa Mbalimbali Kwa ajili ya Kujikinga Dhidi ya Janga la Corona

0
Katibu Tawala wa Mkoa wa Mtwara Alphayo Kidata (kushoto) akipokea vifaa mbali mbali kwa ajili yakujikinga dhidi ya janga la Corona kutoka kwa Kaimu Meneja wa tawi la NMB Mtwara Rosemary Moshi, ikiwa ni sehemu ya misaada inayotolewa na benki hiyo nchi nzima.
Leave A Reply