The House of Favourite Newspapers

Big Interview: Heche Na Ziara Za Makonda “Amekuwa Mpokea Taarifa”-Video

0

GLOBAL TV imefanya mahojiano maalum na Mjumbe wa Kamati Kuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), John Heche na kueleza kuwa ziara alizozifanya Katibu Mwenezi wa CCM, Paul Makonda zinamakosa mengi na yanapaswa kusemwa.

Ungana na GLOBAL TV leo katika Kipindi Cha Big Interview saa 9:00 Alasiri kufahamu hoja nzito alizozitoa John Heche kumhusu Makonda.

Leave A Reply