The House of Favourite Newspapers

Bomoa bomoa bonde la msimbazi Dar yaendelea

0

1.Tingatinga lilipotua mto msimbazi eneo la Mkwajuni Dar.Tingatinga lilipotua Mto Msimbazi eneo la Kinondoni Mkwajuni kabla ya kuanza kazi ya bomoa bomoa.
2.Taswila ya bonde la Mkwajuni baada ya kuvunjwa zilizokuwa zimjengwa eneo hilo.Taswira ya Bonde la kinondoni Mkwajuni baada ya nyumba kuvunjwa katika eneo hilo.
3.Ulinzi ukiwa umeimalishwa.Ulinzi ukiwa umeimarishwa katika eneo hilo.
4.Tingatinga likiwa kazini.Tingatinga likiwa kazini.
7.Baadhi ya wakazi wa maeneo hayo wakifuatilia bomoaboma hiyo.Baadhi ya wakazi wa maeneo hayo wakifuatilia bomoa bomoa hiyo.
9.Tingatinga likiendelea.Tingatinga likiendelea na kazi yake.
11..

ZOEZI la bomoa bomoa katika Bonde la Mto Msimbazi jijini Dar es Salaam lililoanza wiki iliyopita, limeendelea tena wiki hii kutekeleza amri ya tamko la Wizara ya Ardhi, Nyumba na Makazi kwa kushirikiana na Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) ambalo linawataka wakazi wote wanaoishi bondeni kuhama maeneo hayo hatarishi.

Kamera ya Global Publishers, leo imefanikiwa kufika eneo hilo na kukuta nyumba zote zilizojengwa maeneo ya Bonde la Kinondoni Mkwajuni zikibomolewa kwa kutumia ‘tingatinga’ chini ya ulinzi mkali wa polisi huku baadhi ya wakazi wa maeneo hayo wakionekana kuezua mapaa ya nyumba zao.

(NA DENIS MTIMA/GPL)

Leave A Reply