The House of Favourite Newspapers

Boniface Mkwasa Sio Kocha Tena wa Taifa Stars

mkwasaKocha mzawa ambae ameiongoza Timu ya Taifa ‘Taifa Stars’ kwa muda mrefu Chalres Boniface Mkwasa, sasa hivi sio kocha tena wa timu hiyo.

Taarifa hivi zimethibitishwa na rais wa TFF ndugu Jamal Malinzi kupitia ukurasa wa twitter. Jamal Malinzi ametoa taarifa hiyo kwa kuandika,

“Mkataba wa TFF na Kocha Mkwassa,kwa makubaliano,umefikia mwisho leo.Salum Mayanga ameteuliwa kuwa kocha mkuu wa muda wa Taifa Stars.”.

jamal-malinzi

Comments are closed.